This website use cookies to ensure you get the best experience on our website
Kwenye kitabu hiki nimeshughulika na mambo matatu;
Upo tayari kuanza safari nzito ya kusoma sura sita zilizoshiba? Haya anza!
Hiki ni kitabu changu cha 11. Kwa sababu nimekuwa nikitaka sana kukusaidia wewe utimize ndoto yako ya kuandika, kutoa au kuuza kitabu chako, basi nimeandika kitabu hiki kwa ajili yako. Kisome na utajifunza mengi
Pia, ninatoa kozi za uandishi na kuandika machapisho mbalimbali yanayogusa mambo ya uandishi wa vitabu.
Kuwa mtu wa kwanza kujua na kusoma vitabu vyangu vipya, kila ninapotoa.
Kila wiki naandika machapisho mapya nikigusa mambo mbalimbali kwenye uandishi
Napenda kutoa ofa!. Faidika na ofa zangu kwenye vitabu na kozi za uandishi
Nimeandika vitabu vingine 10 kwa ajili yako na hata kama huna hela, unaweza kuniomba ofa!. Usichelewe kuviona, angalia sasa hivi